Rufino wa Asizi (alifariki Costano, karibu na Bastia Umbra, 238 au 239 BK) anakumbukwa kama askofu wa kwanza wa Assisi (Umbria, Italia ya Kati).

Sanamu ya Mt. Rufino katika kanisa kuu la Assisi.

Inasemekana alitokea Amasya, leo nchini Uturuki.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Agosti.[1]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Martyrologium Romanum

Marejeo hariri

  • Bibliotheca hagiographica latina, II, 1068; Elisei
  • Studio sulla chiesa cattedrale di S. Rufino (Assisi, 1893)
  • D. de Vincentiis, Notizie di S. Rufino (Avezzano, 1885)
  • Ekkart Sauser, Biographisch-Bibliographisches Kirchenlexikon, vol. XXI (2003) pp 1284f
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.