Rutilio (alifariki 250) alikuwa Mkristo wa Afrika Kaskazini aliyetumia kila mbinu asikamatwe wakati wa dhuluma ya Decius, kaisari wa Dola la Roma, lakini hatimaye alikubali kuteswa na kuchomwa moto kwa imani yake[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Agosti[2][3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.