Mto Ruvu (pia: Luffu au Jipe Ruvu) ni jina la mojawapo kati ya matawimto muhimu zaidi ya mto Pangani[1] kaskazini mashariki mwa Tanzania.

Ruvu inaishia katika Bwawa la Nyumba ya Mungu, ikiingia kutoka Kaskazini-mashariki (kulia)
Mto Pangani karibu na mdomo katika mji wa Pangani
ramani

Mto Ruvu unaanza kwenye Ziwa Jipe; unakusanya maji kutoka mitelemko wa Kilimanjaro kupitia Mto Lumi na pia kutoka Milima ya Upare. Unakwisha katika bwawa la Nyumba ya Mungu ambako Mto Pangani unaanza[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Entry "Pangani" in the German Koloniallexikon. Jalada kutoka ya awali juu ya 2014-10-11. Iliwekwa mnamo 2017-08-27.
  2. https://www.panganibasin.go.tz/index.php/about-us/ Archived 9 Juni 2022 at the Wayback Machine. Pangani Basin Water Board - About us; iliangaliwa Machi 2022

Viungo vya nje hariri