Södermalm ni wilaya ya Stockholm, mji mkuu wa Uswidi. Inaenea katika kisiwa chake.

Götgatan, Södermalm, Stockholm.

Mitaa na viwanja hariri

Götgatan na Hornsgatan mitaa mikuu ya Södermalm. Mariatorget ni uwanja mkubwa.

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Södermalm kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.