Sabino wa Bigorre
Sabino wa Bigorre (pia: Sabì, Savin, Sabinus; labda Barcelona, Katalunya - Bigorre, leo nchini Ufaransa) alikuwa mkaapweke chini ya milima ya Pirenei akiupatia sifa umonaki na Ukristo kwenye Akwitania[1][2].
Tangu kale ameheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Joseph Abbadie, Vie de saint Savin, anachorète du Lavedan http://gallica.bnf.fr/ark:/12148/bpt6k57877029/f4.image.r=Savin.langFR, 1857}}
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/73720
- ↑ Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |