Sadine Correia Mascarenhas

Sadine Correia Mascarenhas (alizaliwa 9 Juni 1992), anajulikana kama Sadine Correia,[1] ni mchezaji wa soka wa Luxemburg ambaye anacheza kama beki wa klabu ya FC Saarbrücken katika ligi ya 2.Frauen-Bundesliga na timu ya taifa ya wanawake ya Luxemburg.

Marejeo hariri

  1. "Cadre". Fédération Luxembourgeoise de Football (kwa Kifaransa). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-05-02. Iliwekwa mnamo 28 April 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sadine Correia Mascarenhas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.