Salvio na Superio

(Elekezwa kutoka Salvio na mwenzake)

Salvio na Superio (walifariki karibu na Valencienne, 768) walikuwa wamisionari huko Austrasia, leo nchini Ufaransa wakauawa na mtawala wa eneo hilo, Vinegardi. Walitokea Auvergne, Salvio akiwa askofu na Superio mwanafunzi wake[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 26 Juni[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.