Salvius mfiadini

(Elekezwa kutoka Salvius)

Salvius alikuwa Mkristo wa Tunisia ya leo aliyeuawa kwa ajili ya imani yake katika karne ya 3 hivi[1].

Augustino wa Hippo alitoa hotuba moja juu yake.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Januari[2][3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Monks of Ramsgate, “Salvius the Martyr”, Book of Saints, 1921.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.