Samir Beloufa (kwa Kiarabu: سمير بلوفة; alizaliwa 27 Agosti 1979) ni mwanasoka wa zamani wa Algeria ambaye alicheza kama beki wa kati. [1]

Kazi yake Katika Klabu

hariri

Beloufa' alicheza katika Ligi ya Serie A ya Italia aliyoichezea Timyu ya AC Milan, na Monza katika Serie B. Pia alichezea klabu kama Mouscron na Germinal Beerschot nchini Ubelgiji.

Kazi yake Kitaifa

hariri

Beloufa alicheza mechi tisa katika timu ya taifa ya Algeria tangu 2004.[2] Alikuwa sehemu ya timu ya Algeria mwaka 2004 kuwania Kombe la Mataifa ya Afrika, ambayo walishika naafasi ya pili katika kundi lao kwenye mzunguko wa kwanza wa mashindano kabla ya kushindwa na Morocco katika robo-fainali.

Takwimu za kazi

hariri

Kimataifa

Timu Ya Taifa Ya Algeria
Mwaka Programu Magoli
2004 7 0
2005 1 0
2006 1 0
Jumla 9 0

Heshima

hariri

AC Milan

  • Torneo di Viareggio 1999

Marejeo

hariri
  1. https://www.fff.fr/equipe-nationale/joueur/10124-beloufa-samir/fiche.html
  2. "La Fiche de Samir BELOUFA". DZ Foot. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 Agosti 2012. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2009.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Samir Beloufa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.