Sandali wa Cordoba
Sandali (pia: Sandila, Sandolus, Sandulf; alifariki Cordoba, Hispania, 855) alikuwa Mkristo wa Hispania, aliyeuawa na mtawala wa eneo hilo, Mohamed I wa Cordoba kwa sababu alikiri tena imani yake ya awali baada ya kusilimu kwa kukwepa dhuluma .
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 3 Septemba[1][2] ambayo ni tarehe ya mtakatifu Sandali mwingine, aliyeuawa mwanzoni mwa karne ya 4 wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano[3].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/68860
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-02-19. Iliwekwa mnamo 2021-08-29.
Marejeo
hariri- Jessica Coope: Martyrs of Cordoba: Community and Family Conflict in an Age of Mass Conversion: Lincoln: University of Nebraska Press: 1995: ISBN 0-8032-1471-5.
- Kenneth Wolf: Christian Martyrs in Muslim Spain: Cambridge: Cambridge University Press: 1988: ISBN 0-521-34416-6.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |