Saplisi (kutoka neno la Kiingereza surplice ambalo limetokana na Kilatini superpelliceum, ambamo super inamaanisha "juu" na pellicia inamaanisha "vazi la ngozi") ni vazi la liturujia ya Ukristo wa Magharibi (Wakatoliki, Wakatoliki wa Kale, Waanglikana, Walutheri n.k.)[1].

Mseminari amevaa saplisi na kushika chetezo.

Ni kama alba fupi[2] yenye mikono mipana.

Kwa kawaida inatumika juu ya kanzu ya kipadri au ya kitawa pale ambapo ibada haidai alba, kwa mfano katika kuadhimisha ubatizo.

Tanbihi hariri

  1. Catholic Encyclopedia
  2. Anglicans typically refer to a Roman-style surplice with the Medieval Latin term cotta (meaning "cut-off' in Italian), as it is derived from the cut-off alb.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saplisi kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.