Schlern ni mlima wa Dolomiti, sehemu ya safu ya milima ya Alpi katika nchi ya Italia (Ulaya Kusini).

Mlima Schlern

Urefu wake ni mita 2,563 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia

hariri