Open main menu
Selulosi.

Selulosi (kutoka neno la Kiingereza "cellulose"[1]) ni tishu iundayo sehemu kubwa ya miti na mimea mingine. Kikemikali inaundwa na kuwa kaboni yenye fomula (C6H10O5)n.

Selulosi inapatikana zaidi kwenye mimea ya kijani na inatengeneza kiwambaseli cha mmea.

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Selulosi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.