Serapioni wa Antiokia
Serapioni wa Antiokia alikuwa Patriarki wa mji huo wa Siria (leo nchini Uturuki) miaka 191–211.
Maarufu kwa elimu na mafundisho yake, aliacha kumbukumbu sawia kwa utakatifu wake [1]
Anajulikana hasa kutokana na maandishi yake bora kuhusu teolojia yaliyoripotiwa na Eusebi wa Kaisarea.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
hariri- Early Christian Writings: Fragments of Serapion of Antioch
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |