Severo wa Antrodoco

Severo wa Antrodoco (alifariki katika bonde la Antrodoco, Rieti, karne ya 6 BK) anakumbukwa kama padri wa mji huo wa Italia ya Kati[1].

Papa Gregori I alimsifu.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Februari[2]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/41080
  2. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.