"Sexy Love" ni wimbo wa nne na wa mwisho kutolewa Marekani na ni wimbo wa pili kutolewa kimataifa na msanii wa muziki wa R&B na pop Ne-Yo, kutoka katika albamu ya kwanza.

“Sexy Love”
“Sexy Love” cover
Kasha ya single ya Ne-Yo
Single ya Ne-Yo
kutoka katika albamu ya In My Own Words
Imetolewa Julai 2006
Muundo CD single, maxi single
Imerekodiwa 2005
Aina R&B
Urefu 3:40
Studio Def Jam
Mtunzi S. Smith, T. Hermansen, M. Eriksen
Mtayarishaji Stargate
Mwenendo wa single za Ne-Yo
"When You're Mad"
(2006)
"Sexy Love"
(2006)
"Because of You"
(2007)

Wimbo huu ulipata kushika nafasi ya 7 katika chati za Billboard Hot 100 bora. Katika Uingereza, wimbo ulishika nafasi ya 21 katika kupakuliwa peke yake. Uliinukia katika sehemu 16 na kushika nafasi ya 5 pale wimbo kamili ulipotolewa.[1]

Miundo na orodha ya nyimbo hariri

UK CD
  1. "Sexy Love" (toleo la albamu) 3:40
  2. "So Sick" (toleo la kawaida kama lilivyosikika katika Redio ya BBC katika kipindi cha Jo Whiley) 3:02
Maxi Single
(Island Def Jam / UMG / 06025-1703580-5)
  1. "Sexy Love" 3:40
  2. "Sexy Love" (ya kawaida) 3:33
  3. "Sign Me Up" 3:27
  4. "Sexy Love" [Video]

Chati hariri

Chati Nafasi
Iliyoshika
U.S. Billboard Hot 100 7
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs 2
U.S. Billboard Pop 100 15
New Zealand RIANZ Single Charts 8
Australian ARIA Singles Chart 14
Dutch Top 40 31
UK Singles Chart 5
Polish National Top 50 46
French Singles Chart 54

Marejeo hariri

  1. http://www.fox.com/dance/ Archived 10 Julai 2008 at the Wayback Machine. Fox.com Retrieved on 05-08-07

Viungo vya nje hariri