Shamil Borchashvili

Shamil Borchashvili (alizaliwa mnamo 9 Juni 1995) ni raia wa Austria na mwana judo. [1] [2]

Mwana Judo Borchashvili aliyevaa bluu akishiriki katika Bundesliga 2022
Mwana Judo Borchashvili aliyevaa bluu akishiriki katika Bundesliga 2022

Alihamia na familia yake huko Wels, Austria kutoka Chechnya, Urusi alipokuwa mtoto. [3]

Borchashvili alishinda medali ya fedha katika mashindano ya 2021 Judo Grand Slam Tbilisi katika kundi la -81. [4]

Borchashvili alishinda medali ya shaba katika shindano la judo la wanaume wenye kilo 81 katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya 2020 iliyoahirishwa na kufanyika mwaka 2021 Tokyo.

Tanbihi

hariri
  1. "Shamil Borchashvili IJF Profile" (kwa English). IJF.org. Iliwekwa mnamo 2021-04-22.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  2. "Shamil Borchashvili JudoInside Profile" (kwa English). judoinside.com. Iliwekwa mnamo 2021-04-22.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  3. "Judo-Brüder kämpfen für Österreich". nachrichten.at (kwa Kijerumani). 17 Agosti 2017. Iliwekwa mnamo 2021-07-27.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Results 2021 Grand Slam Tbilisi - 81 kg" (kwa English). IJF.org. Iliwekwa mnamo 2021-04-22.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)