Shamsi Vuai Nahodha

Shamsi Vuai Nahodha (amezaliwa tar. 20 Novemba, 1962) alikuwa Waziri Kiongozi wa Zanzibar kuanzia tar. 15 Novemba 2000 hadi tar. 9 Novemba 2010, ambapo cheo hicho kiliondolewa. Mnamo tar. 9 Novemba, 2005, alichaguliwa tena kuwa kama Waziri Kiongozi na Rais Amani Abeid Karume.[1] Huyu ni mwanachama wa chama tawala, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

MarejeoEdit

  1. Nahodha reappointed Chief Minister. The Guardian (Zanzibar) (2005-11-10). Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-08-02. Iliwekwa mnamo 2009-09-01.

Kigezo:Chief Ministers of Zanzibar Kigezo:Current Tanzania Cabinet


Kigezo:Zanzibar-politician-stub