Sharda Hawaryat ni kati ya Wakristo wanaokumbukwa hadi leo, hasa kwa jinsi alivyounganisha upole wa njiwa na busara wa nyoka[1] kama alivyotaka Yesu.

Hayajulikani mengine kuhusu historia yake, ila tangu kale anaheshimiwa na Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Oktoba.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-17. Iliwekwa mnamo 2019-12-17. 
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.