Sharon Bridgforth
Sharon Bridgforth (alizaliwa Mei 15, 1958 huko Chicago, Illinois) ni mwandishi wa nchini Marekani anayefanya kazi katika ukumbi wa michezo..[1]
Maisha ya awali
haririBridgforth alizaliwa katika hospitali ya Cook County Hospital huko Chicago]], Illinois, na kuhamia South Central Los Angeles alipokuwa na umri wa miaka 3. Aligundua aina mbalimbali za miji wakati wa safari zake ndefu za basi kwenda shule.
Marejeo
hariri- ↑ "Sharon Bridgforth". Womenarts.org. 2009-06-01. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-12-05. Iliwekwa mnamo 2012-11-24.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sharon Bridgforth kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |