Sharon Lavigne

mwanaharakati wa mazingira

Sharon Lavigne (alizaliwa Mei 1950) ni mwanaharakati wa haki ya mazingira huko Louisiana aliyelenga kupambana na viwanda vinavyozalisha kemikali (petrokemikali) huko Cancer Alley.[1] [2] Ndiye mpokeaji wa Medali ya Laetare mnamo mwaka 2022, heshima ya juu zaidi kwa Wakatoliki wa Marekani, na mpokeaji wa Tuzo ya Mazingira ya Goldman mnamo mwaka 2021.

Uwanaharakati

hariri

Lavigne, ambaye anatoka Parokia ya Mtakatifu Yakobo, Louisiana, ambayo ni katikati ya uchochoro, ametoa ushahidi mbele ya kongamano, na anaendesha shirika la kidini, Parokia ya Mtakatifu James, lililolenga kuzuia upanuzi na kuzidisha uchafuzi wa mitambo ya viwanda vinavyo zalisha kemikali (petrokemikali) katika eneo hilo.[3][4]

Marejeo

hariri
  1. https://kairoscenter.org/the-fight-for-life-in-death-alley-sharon-lavigne-testimony/
  2. https://www.ncronline.org/news/earthbeat/sharon-lavignes-fighting-faith-bayou
  3. "One Woman's Fight for Clean Air in Louisiana's Cancer Alley". Sierra Club (kwa Kiingereza). 2020-02-11. Iliwekwa mnamo 2020-12-20.
  4. "Cancer Alley Rises Up". Earthjustice (kwa Kiingereza). 2019-05-08. Iliwekwa mnamo 2020-12-20.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sharon Lavigne kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.