Sherifa Gunu

Mwanamuziki wa Ghana

Sherifa Gunu ni mwanamuziki wa nyimbo za injili nchini Ghana . [1] Alizaliwa katika familia ya kifalme ya Ufalme wa Dagbon, katika Mkoa wa Kaskazini wa Ghana. Gunu alipendezwa na muziki na densi wakati wa utoto wake. [2] Sherifa ameshiriki katika mashindano mbalimbali ya kucheza dansi katika ngazi ya mkoa na kitaifa.

Sherifa Gunu akiwa anatumbuiza katika jukwaa la michezo ya kitaifa.
Sherifa Gunu akiwa anatumbuiza katika jukwaa la michezo ya kitaifa.

Maisha ya awali

hariri

Sherifa Gunu hwas alizaliwa katika Ufalme wa Dagbon katika Mkoa wa Kaskazini wa Ghana katika familia ya kifalme. Aliacha shule mapema na baadae akashiriki mashindano ya dansi ya kikanda na kitaifa[3][4].

Maisha Binafsi

hariri

Sherifa ni Muislamu na mama wa watoto wawili.[5] [6]

Marejeo

hariri
  1. Eugene Osafo-Nkansah (16 Mei 2011). "Sherifa Gunu delivers baby girl". Ghana Music. peacefmonline.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-12-12. Iliwekwa mnamo 6 Desemba 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "ProfileAbility – Sherifa Gunu". ProfileAbility (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2022-03-25.
  3. https://www.ghanaweb.com/person/Sherifa-Gunu-1036
  4. https://www.ghanaweb.com/GhanaHomePage/entertainment/Sherifa-Gunu-announces-new-single-Salamatu-498602
  5. Eugene Osafo-Nkansah (16 Mei 2011). "Sherifa Gunu delivers baby girl". peacefmonline.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-12-12. Iliwekwa mnamo 27 Februari 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Bala MD (17 Nov 2022). "Sherifa Gunu To Tour USA". Naijabasic.ng. Iliwekwa mnamo 19 Novemba 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sherifa Gunu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.