Mshigi
(Elekezwa kutoka Shigi)
Mshigi | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
| ||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||
Jenasi 8:
|
Mishigi, shigi au sigi ni ndege wadogo wa jenasi mbalimbali katika familia Estrildidae ambao wanatokea Afrika, Asia na Australia. Takriban spishi zote za Afrika ni ndege weusi au kahawia na weupe wenye pengine sehemu za rangi kali kama nyekundu, machungwa na njano. Spishi nyingi za Asia na Australia zina rangi kali kwa kipande kikubwa cha mwili. Ndege hawa hula mbegu hasa na wadudu pia, hususa makinda. Tago lao ni tufe la manyasi lenye mwingilio kwa kando. Jike huyataga mayai 4-7.
Spishi za Afrika
hariri- Amandava amandava, Mshigi Mwekundu (Red Avadavat) imewasilishwa katika Misri
- Amandava subflava, Mshigi Punda-milia (Zebra au Orange-breasted Waxbill)
- Coccopygia bocagei, Mshigi wa Angola (Angolan Waxbill)
- Coccopygia melanotis, Mshigi Utosi-kijivu (Swee Waxbill)
- Coccopygia quartinia, Mshigi Tumbo-njano (Yellow-bellied Waxbill)
- Estrilda astrild, Mshigi Kinyago-chekundu (Common Waxbill)
- Estrilda atricapilla, Mshigi Kichwa-cheusi (Black-headed Waxbill)
- Estrilda caerulescens, Mshigi Buluu (Lavender Waxbill)
- Estrilda charmosyna, Mshigi Mashavu-meusi (Black-cheeked Waxbill)
- Estrilda erythronotos, Mshigi Uso-mweusi (Black-faced Waxbill)
- Estrilda kandti, Mshigi wa Kandt (Kandt's Waxbill)
- Estrilda melpoda, Mshigi Mashavu-machungwa (Orange-cheeked Waxbill)
- Estrilda nigriloris, Mshigi Kinyago-cheusi (Black-lored Waxbill)
- Estrilda nonnula, Mshigi Utosi-mweusi (Black-crowned Waxbill)
- Estrilda ochrogaster, Mshigi Habeshi (Abyssinian Waxbill)
- Estrilda paludicola, Mshigi-mbuga (Fawn-breasted Waxbill)
- Estrilda perreini, Mshigi Mkia-mweusi (Grey au Black-tailed Waxbill)
- Estrilda poliopareia, Mshigi wa Anambra (Anambra Waxbill)
- Estrilda rhodopyga, Mshigi Kiuno-chekundu (Crimson-rumped Waxbill)
- Estrilda thomensis, Mshigi Tumbo-jekundu (Cinderella Waxbill)
- Estrilda troglodytes, Mshigi Kiuno-cheusi (Black-rumped Waxbill)
- Ortygospiza atricollis, Mshigi Koo-jeusi (Black-faced Quailfinch)
- Ortygospiza fuscocrissa, Mshigi Tombo (African Quailfinch)
- Ortygospiza gabonensis, Mshigi Kidevu-cheusi ( Black-chinned au Red-billed Quailfinch)
- Paludipasser locustella, Mshigi Kidari-chekundu au Mshigi-nzige (Locust Finch)
Spishi za mabara mengine
hariri- Amandava formosa (Green Avadavat)
- Erythrura coloria (Red-eared au Mount Katanglad Parrotfinch)
- Erythrura cyaneovirens (Red-headed Parrotfinch)
- Erythrura c. pealii (Fiji Parrotfinch)
- Erythrura c. regia (Royal Parrotfinch)
- Erythrura gouldiae (Gouldian Finch, Lady Gouldian Finch, Gould's Finch au Rainbow Finch) – pengine inaainishwa katika Chloebia
- Erythrura hyperythra (Tawny-breasted au Green-tailed Parrotfinch)
- Erythrura kleinschmidti (Pink-billed Parrotfinch)
- Erythrura papuana (Papuan Parrotfinch)
- Erythrura pealii (Fiji Parrotfinch)
- Erythrura prasina (Pin-tailed Parrotfinch)
- Erythrura psittacea (Red-throated Parrotfinch)
- Erythrura regia (Royal Parrotfinch)
- Erythrura trichroa (Blue-faced Parrotfinch)
- Erythrura tricolor (Tricolored au Three-coloured Parrotfinch)
- Erythrura viridifacies (Green-faced Parrotfinch)
- Estrilda rufibarba (Arabian Waxbill)
- Neochmia modesta (Plum-headed Finch au Cherry Finch)
- Neochmia phaeton (Crimson Finch)
- Neochmia ruficauda (Star Finch)
- Neochmia temporalis (Red-browed Finch)
- Oreostruthus fuliginosus (Mountain Firetail)
- Poephila acuticauda (Long-tailed Finch)
- Poephila cincta (Black-throated Finch)
- Poephila personata (Masked Finch)
Picha
hariri-
Mshigi mwekundu
-
Mshigi punda-milia
-
Mshigi utosi-kijivu
-
Mshigi tumbo-njano
-
Mshigi kichwa-cheusi
-
Mshigi buluu
-
Mshigi uso-mweusi
-
Mshigi wa Kandt
-
Mshigi mashavu-machungwa
-
Mshigi utosi-mweusi
-
Mshigi-mbuga
-
Mshigi mkia-mweusi
-
Mshigi kiuno-chekundu
-
Mshigi tumbo-jekundu
-
Mshigi kiuno-cheusi
-
Mshigi koo-jeusi
-
Green avadavat
-
Gouldian finch
-
Tawny-breasted parrotfinch
-
Pink-billed parrotfinch
-
Fiji parrotfinch
-
Pin-tailed parrotfinch
-
Red-throated parrotfinch
-
Blue-faced parrotfinch
-
Tricoloured parrotfinch
-
Plum-headed finch
-
Crimson finch
-
Star finch
-
Red-browed firetail
-
Mountain firetail
-
Long-tailed finch
-
Black-throated finch
-
Masked finch