Sibs Shongwe-La Mer
Sibs Shongwe- La Mer, (alizaliwa 11 Septemba, 1991) ni mwandishi, mwongozaji wa filamu, mwanamuziki, na msanii wa taswira aliyezaliwa Johannesburg, nchini Afrika Kusini. [1]
Filamu yake ya kwanza iliyotazamwa sana, iliyojulikana kwa jina la Necktie Youth [2] ilionyeshwa kwa mara ya kwanza katika sehemu ya Panorama katika matamasha mbalimbali kama vile, tamasha la kimataifa la filamu la 65 la Berlin, [3] tamasha la filamu la Tribeca, [4] tamasha la filamu la Sydney [5] na tamasha matamasha mengine mengi na kushinda. tuzo ya "Filamu Bora katika Kipengele cha Afrika Kusini" na "Mwelekeo Bora" katika tamasha la filamu la kimataifa la Durban mwaka 2015. [6] Filamu hiyo iliendelea kupata tuzo nyingi zikiwemo kama "Mafanikio Bora katika Sinema" na "Mafanikio Bora katika uhariri" katika tuzo za filamu na televisheni za 2015 za Afrika Kusini . [7]
Kazi ya awali
haririSibs Shongwe-La Mer alizaliwa Sandton katika Vitongoji vya Kaskazini mwa Johannesburg, nchini Afrika Kusini mnamo 11 Septemba, 1991. [8] [9] Kazi yake ya sanaa na sinema ilianza katika ujana wake baada ya kifo cha ghafla cha rafiki wa kike walipokua shule ya upili na mikasa mingine mikubwa ilikumba mzunguko wake wa kijamii na kusababisha kuundwa kwa vyombo mbalimbali vya sanaa na filamu [10] .[11]
Marejeo
hariri- ↑ "Tribeca Film Review: 'Necktie Youth'". Variety. 19 Aprili 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Necktie Youth (2015)". IMDb. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-04-25. Iliwekwa mnamo 2016-03-31.
- ↑ [1] Cineuropa Berlin International Film Festival Review
- ↑ [2] Archived 15 Aprili 2016 at the Wayback Machine. Necktie Youth, Tribeca 2015
- ↑ [3] Archived 21 Aprili 2016 at the Wayback Machine. Sydney Film Festival press release,2015
- ↑ [4] Mail & Guardian Article (Durban International Film Festival)
- ↑ [5] 2015 South African Film and Television Awards Article on Times South Africa
- ↑ [6] South Planet
- ↑ [7] New24 Article
- ↑ [8] True Africa
- ↑ https://m.imdb.com/name/nm7182448/
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sibs Shongwe-La Mer kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |