Signalkuppe (kwa Kiitalia: "Punta Gnifetti") ni mlima wa Alpi kati ya nchi za Italia na Uswisi (Ulaya).

Kilele cha mlima.

Urefu wake ni mita 4,554 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri