Sindolfi wa Reims (alifariki karibu na Reims, Ufaransa, 600 hivi) alikuwa mkaapweke aliyepewa upadri na kuwafafanulia Biblia watu waliomfikia.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Oktoba[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Flodoard, Histoire de l'église de Reims (l' Historia ecclesiæ Remensis écrite en latin), livre II, chapitre IX.

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.