Sinforiani wa Autun

Sinforiani wa Autun (alifariki 178 hivi) alikuwa Mkristo wa mji huo, leo nchini Ufaransa aliyeuawa kwa ajili ya imani yake[1].

Daniel Hallé, Kifodini cha Mt. Sinforiani (1671), cathédrale Saint-Pierre de Saint-Flour.
Jean-Auguste-Dominique Ingres, Kifodini cha Mt. Sinforiani (1834), cathédrale Saint-Lazare d'Autun.

Wakati wa kwenda kuuawa, mama yake alimlilia, "Mwanangu, mwanangu, Sinforiani, umkumbuke Mungu aliye hai. Leo uhai wako hauondolewi bali unaboreshwa tu".

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Agosti[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.