'Siri ya Kijiji ni jina la filamu iliyotoka mwaka 2015 kutoka nchini Tanzania. Ndani yake anakuja Hissani Muya, Irene Temba na Zena Mbegu (Bi. Moza). Filamu imeongozwa na Patrick Komba na kutayarishwa na Hissan Muya. Awali iliitwa Kibandani, baadaye msambazaji akaibadili jina na kuiita Siri ya Kijiji kutokana na mtiririko wa hadithi yenye. Pendekezo ambalo lilitolewa na kikosi cha watalaamu wanaoshughulikia ununuzi wa filamu na kuzisambaza. [1] Filamu inaelezea umuhimu wa vijana kupata tohara mapema hasa suala zima la jando la kimila ambalo hutoa elimu kwa kijana kufuata maadili mema. Lakini pia elimu ya mabinti kulinda usichana wao hadi kufikia hatua ya kuolewa.

Siri ya Kijiji

Posta ya Siri ya Kijiji
Imeongozwa na Patrick Komba
Imetayarishwa na Hissan Muya
Imetungwa na Patrick Komba
Nyota Hissan Muya
Irene Temba
Zena Mbega
Imesambazwa na B.M.O
Imetolewa tar. 18 Juni, 2015
Nchi Tanzania
Lugha Kiswahili

Hadithi

hariri

Kaduma ni kijana mwindaji aliyekosa nafasi ya kupelekwa jandoni katika umri mdogo. Anakosa kujiamini kujenga mahusiano na binti mzuri kijijini kwao (Fina) kwasababu ya tatizo lake. Fina anampenda Kaduma lakini ngumu kwa Kaduma kukubali. Siri inavuja baada ya Kaduma mwenyewe kuitoa kwa rafiki yake wa karibu. Suala hili limechukuliwa tofauti kijijini hapo na kuzua gumzo la maana kijijini hapo. Kashfa na vicheko vya kijijini pale vinamsukuma Kaduma kwenda maporini na kufanyiwa suna. Mwisho wake anafanikiwa kufunga ndoa na mwanamke aliyempenda, Fina.

Washiriki

hariri
  • Hissan Muya - Kaduma
  • Irene Temba - Fina
  • Zena Bakari (Bi. Moza) -

Marejeo

hariri
  1. [http://web.archive.org/20180613142046/http://hivisasa.co.tz/filamu/siri-ya-kijiji Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. Siri ya Kijiji] Ilihifadhiwa 13 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. katika blogu ya Hivi Sasa