Sirili II wa Aleksandria

Sirili II wa Aleksandria (alifariki 6 Juni 1092) kuanzia mwaka 1078 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa 67 wa Aleksandria (Misri).

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.