Sirili V wa Aleksandria

Sirili V wa Aleksandria (1831 hivi - 7 Agosti 1927) kuanzia mwaka 1874 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa 112 wa Aleksandria (Misri). Ndiye aliyeongoza kirefu zaidi Kanisa la Wakopti.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • Meinardus, Otto F.A. (2002). Two Thousand Years of Coptic Christianity. American University in Cairo Press. ISBN 978-977-424-757-6.
  • Atiya, Aziz S. The Coptic Encyclopedia. New York: Macmillan Publishing Co., 1991. ISBN 0-02-897025-X

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.