Snæfellsjökull ni volkeno iliyopo katika kisiwa cha Iceland yenye kimo cha mita 1,448.

Mlima Snæfellsjökull

Pamoja na Iceland yote iko mahali ambako mabamba ya gandunia yanakutana, ambao ni bamba la Amerika ya Kaskazini na bamba la Ulaya-Asia na hapo ni sehemu ambako mara kwa mara magma ya ndani ya dunia inatoka nje.

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Snæfellsjökull kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.