Spishi adimu
Shishi adimuni spishi ambazo zimeandikwa na International Union for Conservation of Nature (IUCN) katika orodha maalumu yenye majina ya zile zinazoelekea kukoma duniani (Red List).
Mwaka 2012 orodha hiyo ilikuwa na spishi za wanyama 3079 na spishi za mimea 2655,[2] wakati mwaka 1998 zilikuwa 1102 na 1197 tu.
Inakadiriwa kwamba zaidi ya asilimia 40 za spishi ziko hatarini.
Siku hizi nchi nyingi zina sheria za kuhifadhi spishi za namna hiyo, kwa kukataza, k.mf. uwindaji na uchomaji moto, au kwa kuunda maeneo maalumu hifadhi za taifa.
Pia kuna mikataba ya kimataifa iliyosainiwa na nchi zote au karibu zote kwa ajili hiyo.
Picha
hariri-
Picha mgando ya miaka ya 1870 ya mafuvu ya kichwa ya American bison. Kufikia mwaka 1890, uwindaji ulibakiza wanyama 750 tu wa spishi hiyo.
-
Immature California condor.
Tanbihi
hariri- ↑ "The Tiger". Sundarbans Tiger Project. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-17. Iliwekwa mnamo 2 Juni 2012.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "IUCN Red List version 2012.2: Table 2: Changes in numbers of species in the threatened categories (CR, EN, VU) from 1996 to 2012 (IUCN Red List version 2012.2) for the major taxonomic groups on the Red List" (PDF). IUCN. 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2013-01-27. Iliwekwa mnamo 2012-12-31.
Marejeo
hariri- Glenn, C. R. 2006. "Earth's Endangered Creatures".
- Ishwaran, N., & Erdelen, W. (2005, May). Biodiversity Futures, Frontiers in Ecology and the Environment, 3(4), 179.
- Kotiaho, J. S., Kaitala, V., Komonen, A., Päivinen, J. P., & Ehrlich, P. R. (2005, February 8). Predicting the Risk of Extinction from Shared Ecological Characteristics, proceedings of the National Academy of Sciences of the United States of America, 102(6), 1963-1967.
- Minteer, B. A., & Collins, J. P. (2005, August). Why we need an "Ecological Ethics", Frontiers in Ecology and the Environment, 3(6), 332-337.
- Raloff, J. (2006, August 5). Preserving Paradise, Science News, 170(6), 92.
- Wilcove, D. S., & Master L. L. (2008, October). How Many Endangered Species are there in the United States? Frontiers in Ecology and the Environment, 3(8), 414-420.
- Freedman, Bill. "Endangered species." Gale Encyclopedia of Science. Ed. K. Lee Lerner and Brenda Wilmoth Lerner. 4th ed. Detroit: Gale Group, 2008. Discovering Collection. Gale.
- Chiras, Daniel D. "Invader Species." Grolier Multimedia Encyclopedia. Grolier Online, 2011.
- "Endangered Species." Current Issues: Macmillan Social Science Library. Detroit: Gale, 2010.
Viungo vya nje
hariri- Endangered Species Ilihifadhiwa 20 Agosti 2008 kwenye Wayback Machine. from UCB Libraries GovPubs
- Endangered Species & Wetlands Report Ilihifadhiwa 13 Julai 2019 kwenye Wayback Machine. Independent print and online newsletter covering the ESA, wetlands and regulatory takings.
- USFWS numerical summary of listed species in US and elsewhere Ilihifadhiwa 8 Novemba 2004 kwenye Wayback Machine.
- https://worldwildlife.org/species
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Spishi adimu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |