St Elizabeth Hospital
St Elizabeth Hospital ni hospitali inayomilikiwa na kuendeshwa na Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Arusha.
Ilianzishwa mwaka 1974 kama zahanati na kufanywa kuwa hospitali mwaka 1984 [1]
Hospitali hiyo inapatikana katikati mwa jiji la Arusha ikiwa ni hospitali ya tatu kwa ukubwa katika mkoa wa Arusha.
Marejeo
hariri- ↑ "ST. ELIZABETH HOSPITAL ARUSHA". www.seha.or.tz. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-11-12. Iliwekwa mnamo 2020-03-07.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |