Steven Sabino
Steven Sabino (alizaliwa 24 Aprili 2006) ni mchezaji wa mbio za kasi kutoka Msumbiji. Yeye ni mwenye rekodi ya taifa katika mbio za mita 100.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Whitehead, Mosibodi (Novemba 17, 2021). ""I just love staying in the air" - 15-year old long jumper and sprint sensation Steven Sabino". thetoprunner.co.za. Iliwekwa mnamo 20 Julai 2024.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Steven Sabino kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |