Sung Jae ki (kwa Kikorea: 성재기 成在基; 11 Septemba 1967 - 26 Julai 2013) alikuwa mwanaharakati wa haki za binadamu na mwanafalsafa huria wa nchi ya Korea Kusini. Aliitwa "baba wa wanaharakati wa haki za wanaume". Alizaliwa mjini Daegu, Gyeongsangbuk-do, ndani ya Korea Kusini.

Sung Jae gi

Marejeo

hariri

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sung Jae gi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.