Sunya
Sunya ni kata ya Wilaya ya Kiteto katika Mkoa wa Manyara, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 23,558 waishio humo.[1] Kata hii inapakana na mikoa ya Tanga,Morogoro na Dodoma. Wakazi wa kata hii Wanguu,wakagulu,wakamba na wamasai.
Marejeo hariri
Kata za Wilaya ya Kiteto - Mkoa wa Manyara - Tanzania | ||
---|---|---|
Bwawani | Bwagamoyo | Chapakazi | Dongo | Dosidosi | Engusero | Kaloleni | Kibaya | Kijungu | Laiseri | Lengatei | Loolera | Magungu | Makame | Matui | Namelock | Ndedo | Ndirigishi | Njoro | Olboloti | Partimbo | Songambele | Sunya |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Manyara bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sunya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|