Surabaya


Surabaya (kwa Kiindonesia: Kota Surabaya) ni mji kubwa wa Indonesia. Ukubwa wa eneo lake ni 374.78 km². Idadi ya wakazi wake imekadiriwa kuwa 2,765,908 (mwaka wa 2010).

Jiji la Surabaya
Nchi Indonesia
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 2 765 908
Tovuti:  www.surabaya.go.id
Surabaya
Ramani ya Surabaya
Map of Asian states.png Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Surabaya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: