Surat ni mji wa Jimbo la Gujarat nchini Uhindi. Uko kwenye kingo za mto Tapti, karibu na mdomo wake katika Bahari Hindi. Hivyo ilikuwa bandari muhimu lakini siku hizi maji yake hayana kina cha kutosha kwa meli kubwa. Ni jiji lenye wakazi milioni 4.5 lenyewe, na milioni 6 katika rundiko la mji. Ni mji mkubwa wa nane nchini Uhindi.

Surat
Nchi Uhindi
Jimbo / Mkoa Gujarat
Anwani ya kijiografia 21°10′12.864″N 72°49′51.819″E / 21.17024000°N 72.83106083°E / 21.17024000; 72.83106083
Kimo mita 13
Eneo km2 326.515 [1]
Wakazi 4,467,797[2]
Msongamano wa watu 14,000/km2
Simu 91-261-XXX-XXXX
Tovuti rasmi www.suratmunicipal.gov.in

Tanbihi

hariri
  1. "Statistics for Surat Municipal Corporation". Official website of Surat Municipal Corporation. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Septemba 2015. Iliwekwa mnamo 4 Juni 2015. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "District Census Handbook – Surat" (PDF). Census of India. uk. 40. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka (PDF) kutoka chanzo mnamo 13 Novemba 2015. Iliwekwa mnamo 10 Februari 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya Nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

  Surat travel guide kutoka Wikisafiri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Surat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.