Suren Gazaryan

Mtaalamu wa wanyama, mshindi wa Tuzo ya Mazingira ya Goldman kutoka Urusi.

'

Suren Gazaryan
Amezaliwa8 Julai 1974)
Kazi yakemtaalamu wa wanyama


Suren Gazaryan (kwa Kirusi: Сурен Владимирович Газарян; amezaliwa Krasnodar, 8 Julai 1974) ni mtaalamu wa wanyama, mtu wa umma kutoka Urusi, na mshiriki wa zamani wa The Environmental Watch Kaskazini mwa Kaukazi.[1]

Ni mwanachama wa Baraza la Uratibu wa Upinzani la Urusi (Russian Opposition Coordination Council). Alipewa Tuzo ya Mazingira ya Goldman (Goldman Environmental Prize) mnamo 2014.[2][3][4]

Maisha

hariri

Mnamo 1996, Gazaryan alihitimu kutoka Chuo Kikuu cha Jimbo la Kuban, na mnamo 2001 alimaliza masomo ya uzamili katika Chuo cha Sayansi cha Urusi.[5] Mnamo 2001, alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa tume ya ulinzi wa mapango ya Russian Union of Cavers.[6]

Marejeo

hariri
  1. "ОБ ЭКОЛОГИЧЕСКОЙ ВАХТЕ | Экологическая Вахта по Северному Кавказу". ewnc.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-04-19. Iliwekwa mnamo Aprili 20, 2021. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Exiled environmental activist speaks of 'impossibility' of protest in Russia". the Guardian (kwa Kiingereza). Aprili 28, 2014. Iliwekwa mnamo Aprili 21, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Suren Gazaryan". Goldman Environmental Foundation (kwa American English). Iliwekwa mnamo Aprili 21, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Suren Gazaryan". Front Line Defenders (kwa Kiingereza). Desemba 17, 2015. Iliwekwa mnamo Aprili 21, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Газарян, Сурен Владимирович – Эколого-фаунистический анализ населения рукокрылых (Chiroptera) Западного Кавказа : диссертация ... кандидата биологических наук : 03.00.08 – Search RSL". search.rsl.ru. Iliwekwa mnamo Aprili 20, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "Gazaryan Suren". zmmu.msu.ru. Iliwekwa mnamo Aprili 20, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Suren Gazaryan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.