Khalid Mohamed
(Elekezwa kutoka T.I.D.)
Khalid Mohamed (anafahamika zaidi kama T.I.D. yaani "Top in Dar"; amezaliwa Dar es Salaam, 1981) ni mwanamuziki wa Bongo Flava kutoka nchini Tanzania.
Ameimba nyimbo nyingi maarufu nchini Tanzania. Kati ya nyimbo hizo ni Mrembo, Zeze, Girl Friend, Siamini na nyingine nyingi alizowahi kuimba na baadaYe kuwa maarufu.
Maisha ya Mwanzo
haririTID alizaliwa kama Khalid na ni mtoto wa mwisho katika familia yao. TID alipata elimu ya msingi 1989 hadi 1996, na baadaye kumaliza elimu ya Sekondari mwaka 2000. Katika kipindi cha mwaka huohuo TID akawa anasomea masuala ya uhandishi kwa muda wa miezi minane na kuhitimu huku akichukua kozi ya kompyuta jijini Dar es Salaam.
Albamu Alizotoa
haririSauti ya dhahabu aliyoshirikisha wasanii kama Jay Moe
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Khalid Mohamed kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |