Taifa Leo ni gazeti la kila siku nchini Kenya linalotolewa kwa lugha ya Kiswahili. Linauza takriban nakala 44,000 kwa siku, hivyo ni gazeti linaloandikwa kwa Kiswahili lenye wasomaji wengi katika Kenya.

Taifa Leo
Jina la gazeti Taifa Leo
Nchi Kenya
Makao Makuu ya kampuni Nairobi
Tovuti https://taifaleo.nation.co.ke/

Gazeti hilo ni sehemu ya kampuni ya hisa ya Nation Media Group.

Taifa Leo ni gazeti ambalo hutumika shuleni pia kujifunza Kiswahili nchini Kenya.

Magazeti dada hariri

Marejeo hariri

  • Meitamei, A., & Omari, O. J. (2012). Taifa Leo Newspaper as a Tool for Teaching and Learning Swahili Language in Secondary Schools in Kenya.