Nipashe ni gazeti la kila siku kutoka Dar es Salaam nchini Tanzania linalotolewa kwa lugha ya Kiswahili. Ni gazeti mojawapo linaloandikwa kwa Kiswahili lenye wasomaji wengi katika Tanzania.

Nipashe
Jina la gazeti Nipashe
Nchi Tanzania
Makao Makuu ya kampuni Dar es Salaam
Tovuti https://www.ippmedia.com/sw/nipashe

Gazeti hili ni mali ya kampuni ya hisa ya IPP Media.

Magazeti dada

hariri

Marejeo

hariri
  • Sanga, A. N. (2018). Mkengeuko wa ujumi wa kiafrika katika hadithi fupi andishi za kiswahili kipindi cha utandawazi: Mifano kutoka magazeti ya Habari Leo, Nipashe na Mwananchi (Doctoral dissertation, Chuo Kikuu cha Dodoma).