Kwa kata ya Kenya yenye jina hilihili, tazama: Tarakwa (Uasin Gishu)

Tarakwa ni kata mojawapo ya Wilaya ya Arusha katika Mkoa wa Arusha, Tanzania. Kata hiyo ipo kati ya zile zinazounda Mamlaka ya Mji mdogo wa Ngaramtoni na inaundwa na vitongoji viwili ambavyo ni Saitabau, yalipo makao makuu ya kata, pamoja na Tarakwa yenyewe.

Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2022, kata ilikuwa na wakazi wapatao 11,205 [1] waishio humo.

Marejeo

hariri
  Kata za Wilaya ya Arusha Vijijini - Mkoa wa Arusha - Tanzania
 

Bangata * Bwawani * Ilboru * Ilkiding'a * Kimnyak * Kiranyi * Kisongo * Kiutu * Laroi * Lemanyata * Lengijave * Mateves * Mlangarini * Moivo * Musa * Mwandet * Nduruma * Oldonyosambu * Oldonyowass * Oljoro * Olmotonyi * Oloirien * Olturumet * Olturoto * Sambasha * Sokon II * Tarakwa


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Arusha bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tarakwa (Arusha) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.