Tarsisia wa Rodez (alifia dini yake huko Rodez, katika Ufaransa wa leo, 600 hivi) alikuwa bikira aliyeuawa kwa ajili ya imani yake[1][2].

Alikuwa na undugu wa Ferreol wa Uzes[3].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu bikira mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Januari[4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.