Taylor Terrell (Julai 22, 1991Julai 21, 2016)[1] alikuwa mtangazaji wa Marekani katika kipindi cha 41NBC na 41Today katika chaneli ya WMGT-TV huko Macon, Georgia.[2]

Taylor Terrell

Amezaliwa 22 Julai 1991
Marekani
Amekufa 21 Julai 2016
Carolina
Nchi Marekani
Kazi yake mtangazaji

Terrell alifariki usiku wa kuamkia siku yake ya kuzaliwa ya tarehe 25 baada ya kuanguka katika ajali ya Maporomoko ya maji huko North Carolina.[1]

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 Corley, Laura. "News anchor slips from waterfall, dies day before 25th birthday". The Charlotte Observer. Iliwekwa mnamo Julai 25, 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Sheriff: Georgia news anchor dies at Rainbow Falls". Citizen-times.com. Julai 21, 2016. Iliwekwa mnamo Julai 25, 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Taylor Terrell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.