22 Julai
tarehe
(Elekezwa kutoka Julai 22)
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 22 Julai ni siku ya 203 ya mwaka (ya 204 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 162.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1515 - Mtakatifu Filipo Neri, padri wa Italia
- 1559 - Mtakatifu Laurenti wa Brindisi, O.F.M.Cap., padri kutoka Italia
- 1647 - Mtakatifu Margareta Maria Alacoque, bikira kutoka Ufaransa
- 1831 - Komei, Mfalme Mkuu wa 121 wa Japani (1846-1867)
- 1887 - Gustav Hertz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1925
- 1888 - Selman Waksman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1952
- 1898 - Stephen Vincent Benét, mwandishi kutoka Marekani
- 1899 - Sobhuza II, mfalme wa Uswazi
- 1923 - Bob Dole, mwanasiasa kutoka Marekani
- 1964 - David Spade, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1966 - Erick Keter, mwanariadha kutoka Kenya
- 1973 - Rufus Wainwright, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1974 - Franka Potente, mwigizaji filamu kutoka Ujerumani
- 1992 - Selena Gomez, mwigizaji filamu kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1619 - Mtakatifu Laurenti wa Brindisi, O.F.M.Cap., padri kutoka Italia
- 1676 - Papa Klementi X
- 1908 - Randal Cremer, kiongozi Mwingereza wa chama cha wafanyakazi, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1903
- 1967 - Carl Sandburg, mwandishi na mwanahistoria kutoka Marekani
- 1996 - Vermont Royster, mwandishi wa habari kutoka Marekani
- 2003 - Wahome Mutahi, mwandishi kutoka Kenya
Sikukuu
hariri- Wanahisabati kadhaa duniani husherehekea sikukuu ya Π (tamka: pi) kwa sababu tarehe hii inaweza kuandikwa pia kama 22/7 ambayo ni chamkano cha karibu na namba Π.
- Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya mtakatifu Maria Magdalena, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Plato wa Ankara, Wafiadini wa Masula, Sirili wa Antiokia, Anastasi wa Schemaris, Wandrili, Menelei wa Menat, Filipo Evans, Yohane Lloyd, Anna Wang, Lusia Wang Wangzhi, Andrea Wang Tianqing, Maria Wang Lizhi n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 22 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |