Tegan Moss (amezaliwa tar. 7 Februari 1985, mjini Vancouver, British Columbia, Kanada) ni mshindi wa Tuzo ya Msanii Mdogo kutoka nchini Kanada-anayeonekana sana katika filamu na vipindi vya televisheni.

Tegan Moss
Amezaliwa Tegan Moss
7 Februari 1985 (1985-02-07) (umri 39)
Vancouver, British Columbia
Kanada
Kazi yake Mwigizaji
Mwigizaji wa sauti

Moss ana kaka wawili, Rory Moss, na mwingine mwigizaji anaitwa Jesse Moss. Moss alijinga na Shule ya Sekondari ya Point Grey na kumaliza mnamo mwezi Juni katika mwaka wa 2003.

Moss kwa sasa anashiriki katika filamu ya Dr. Dolittle Goin' Hollywood na Free Style ambayo inapngwa ianze kufanyiwa kazi baada ya mwaka. Moss pia alipata kuonekana katika filamu ya Sea People akiwa kama Amanda Forrest.

Filamu alizocheza

hariri
  • 2 Cool at the Pocket Plaza kacheza kama Polly Pocket
  • A Girl Like Me: The Gwen Araujo Story kacheza kama Lisa
  • Dead Like Me kacheza kama Fiona
  • Eight Days To Live kacheza kama Becca Spring
  • Galaxy Angel X kacheza kama Chitose Karasuma
  • High School Musical 3: Senior Year kacheza kama Angela Fuller
  • My Scene Goes Hollywood kacheza kama Nolee
  • Polly and the Pockets kacheza kama Polly Pocket
  • PollyWorld kacheza kama Polly Pocket
  • Seventeen & Missing kacheza kama Lori Janzen

Viungo vya nje

hariri