Teilo (pia: Teliarus, Teliavus, Teliau, Telo, Théleau, Dillo, Eliud; Penally, Pembrokeshire, Welisi, 500 hivi – Llandeilo Fawr, Wales, 560 hivi) alikuwa mmonaki na askofu aliyefanya kazi sehemu mbalimbali za Britania na Ufaransa, akianzisha monasteri na makanisa[1].

Mt. Teilo katika dirisha la kioo cha rangi huko Abergavenny.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Februari.[2]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri