Tembo-bahari
Tembo-bahari | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Spishi 2:
| ||||||||||||||
Msambao wa tembo-bahari kaskazi (buluu)
| ||||||||||||||
Msambao wa tembo-bahari kusi (feruzi)
|
Tembo-bahari (kutoka Kijerumani: see-elefant; jenasi Mirounga) ni wanyama wakubwa wa Bahari ya Pasifiki na Bahari ya Kusini wenye mkonga mfupi kama tembo.
Spishi
hariri- Mirounga angustirostris, Tembo-bahari kaskazi (Northern elephant seal)
- Mirounga leonina, Tembo-bahari kusi (Southern elephant seal)