Teojene wa Pario (alifariki 320 hivi) alikuwa Mkristo aliyekataa kutumikia kama askari kwa sababu hiyo alifungwa, akateswa akauawa kwa kutoswa majini karibu na mji huo (leo Keder, nchini Uturuki) chini ya kaisari Licinius[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Januari[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Martyrologium Romanum
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.